GLOIRE A DIEU

81.  SIFA KWA MUNGU, MBINGUNI ASIFIWE (Swahili)

R/ Sifa kwa Mungu, mbinguni asifiwe...
Asifiwe, amani duniani
(kwa watu anaowapenda Mungu asifiwe, eeee) 2X

1.Tunakusifu, uuuu! Tuna kushangilia,aaaa
Tunakwabudu,uuuu! Tunakutukuza,aaaa

2. Ee Bwana Mungu,uuuu! Mungu Baba Mwenyenzi,iiii
Ee Bwana Yesu,uuuu! Mwana wa Mungu Baba,aaaa

3. Unaye ondoa,aaaa! Zambi za dunia,aaaa
Utuhurumie,eeee! Utuhurumie,eeee

4. Unaye kaa, aaaa! Kume kwa Baba,aaaa
Utuhurumie,eeee! Pokea ombi letu,uuuu

5. Kwa maana wewe,eeee! Pekee yako mtakatifu,uuuu
Pamoja na Roho,oooo! Katika sifa ya milele,eeee